@HusseinBashe This is one of the best strategies as the nation, well done Mh. Bashe ni lazima nchi yetu ifike sehemu tuheshimiwe na kupewa treatment kama taifa huru.
@AnnaTibaijuka@jamvileotips Napenda sana Prof . Unavyo weza kujenga hoja hongera sana, Taifa hili linatambua mchango wako isipokuwa labda kwa vijana wa hovyo.
What has happened to Ukrainians president is very bad , the Trump administration should fill shame, the meeting was full of bulling and disrespect to Mr.Zelensky and the Ukrainian.
@godbless_lema Njaa mbaya sana na uwezo wa kufikiri ukiwa mdogo basi ndio inakuwa tatizo kabisa , shule ni haki kujengwa na serikali kwa kodi zetu wala sio swala na kuomba na kujigaragaza chini?
@godbless_lema Achahizo wakati niko chuo kikuu kuna Mzambia alizaa mtaani na alisema yuko mwaka wa pili basi mtoto alikuwa akiulizwa baba yako nani alikua anasema baba yangu anaitwa Second Year π
Maandamano ya chadema ni muhimu Sana kwenye Nchi ambayo inatawaliwa kwa msingi ya kidomecrasia na utawala bora, Lakini wasiwasi wangu ni je Chadema ina democrasia ya kweli kwao huko wenyewe??
#HABARI Watu watano akiwemo mtoto wa kike wanadaiwa kupoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya gari la New Force linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda mkoani Rukwa kupata ajali katika Kijiji cha Igando kata ya Luguda wilaya ya Wanging'ombe mkoa wa Njombe.