@Mabibatz @patrickmanyama4@yangasc1935@SimbaSCTanzania Kwa iyo ndan ya hizo wiki mbili simba hajacheza mech yoyote? Au ukicheza kimataifa ndo unachoka kuliko ligi ya ndani!? Ebu twambie simba ana viporo vngapi na yanga anavyo vngapi, afu ndo uje kubishana
@MakeneNaluyaga1@MoneroKingdom@jaznira@godbless_lema Standard zangu nmesha ziseti kitambo ndo maana naamin katika kila fulsa ukifocus unatoboa sio kutegemea tu kile unacho kipenda. Nenda bungeni pale kuna madoctor kibao ila hawazitumikii taaluma zao wapo kwenye siasa
@MakeneNaluyaga1@MoneroKingdom@jaznira@godbless_lema Mbona wewe huamini katika hicho alicho kipata? Na wew ni miongon mwa hao vijana wenye mawazo hasi usiye amini kama huko anaweza fanikiwa pia. Tunajua kila kazi ina changamoto zake lakin watu wanapambana mzee hata kwenye biashara pia kuna changmoto rukuki
@MakeneNaluyaga1@MoneroKingdom@jaznira@godbless_lema Nakupa mfano mdogo tu leo Jeshi la zima moto watangaze nafasi za ajira uone ni vijana wangap watajitokeza kuomba iyo nafac utakutana na cv za kila aina. Sio kila kitu ni kubeza tujifunze kuridhika, anaweza kupewa iyo boat kama unavo sema ikaibiwa na maharamia vilevile akabak mtup
@MakeneNaluyaga1@MoneroKingdom@jaznira@godbless_lema Kwa nyakati hizi unatoa wapi mda wa kuanza kufikilia!!? Huo mda mnaotaka apewe wa kufikilia mjue kabisa na upepo wa hili janga ukiisha tu wamemsahau.Raha ya supu uinywe ikiwa ya moto
@AdamGella@Josephmaro8@godbless_lema ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃuyo ndo wale majobless wakisikia tu kuna nafas za ajila wanakusanya mpka vyeti vya ubatizo. Ila wakikaa nyuma ya keyboard majigambo debe kummke๐