@earadiofm@ibrakasuga Apumzike kwa amani Mjatta, shukrani nyingi kwenu #KipengaXtra kufanikiwa kufika kwenye mazishi, hakika mnaonyesha upendo na umoja
@Rydx_017 Kuna majitu malinga sana aisee, sasa huyu alichukuliwa kwenye project hii akiwa na professional gani ya muziki? Au kipindi cha kukosoa kazi za sanaa ndio kilichoonesha kuwa anajua muziki? Bongo bhana🤣🤣🤣
@earadiofm Mzee Mwenda bhana anazinguaga, kuna msimu alimtukana sana Mayele mwisho wa siku akaona ndani na nje ya nchi, msimu huu kaanza na diarra hahahahaaa, end of the day wanaKIPENGA EXTRA tuwe tunaongea kwa takwimu tutakuja kuonekana maandazi siku za usoni