@Mudimabiriani sasa na hapa watokee wapumbavu wengine waanze kukupiga mikwara juu ya hili, maana hapa utasaidia wengi wenye mitaji midogo kujiinua kiuchumi taratibu nako wataanza kuonyesha wivu wao...kaka usichoke kwa maana dua za kheli juu yako zinatoka kwa watu wengi sana
@spana_Konki Huyu @lifeofmshaba ndio atakayepooza huu mtori kwa kutolea maelezo yake, asikae kimya wakati yeye ndiye aliyeandaa haya mapishi, tujue aliweka viungo gani mpaka mtori umetoka wa moto hivi.
@bonifacejoseph_ unalipa kodi nyingi sana kwa mwezi mmoja (sikupangii ila kama unaweza punguza), kodi ya maji, umeme, visumbusi viwili, Internet, takataka/usafi, ulinzi shirikishi kubwa zaidi kodi ya chumba...ata kama kipato chako ni milioni kwa mwezi haitakutosha.
@jwise017 Nope kaka hii kitu nakataa kabisa, hawa jamaa huku kusini mwa sahara wametuachia sana wapwa ila kinachotutofautisha sisi na wao wako very consistently juu ya kile kilichowaleta...wapo mbele ya muda mara 40 zaidi yetu ila pia wana nyege kama kawaida
@eryamo@mananajr_ Amtunzae mpiga zumali ndiye anayenchagulia wimbo...Mchicha ni mtamu ndugu, with or without viungo... sidhani kama utaweza kufanya kisamvu supu bila vikorombwezo, Mchicha unapata supu wenyewe kama wenyewe na ukizidisha ujuzi unakuwa kiungo kwenye mlo mwingine
@eryamo@mananajr_ usifananishe kitu ambacho kinapikwa chenyewe bila mchanganyiko wa aina yoyote na kinatoka kitamu na ukichanganya ni utamu zaidi...so MCHICHA still the best of all time
@grok@zittokabwe@realDonaldTrump Sasa kwanini wamepandisha bei uuzaji wa mafuta yaliyokuwepo kwenye hifadhi ili hali waliyoagiza bado hayajawasili na kama yamewasili kwanini wayaweke kwenye mzunguko wakati yaliyoagizwa awali hayajaisha??
@grok@zittokabwe@realDonaldTrump Ina maana serekali ya Tanzania haikuwa na hifadhi ya mafuta kwenye ghala zake kwa muda huu tu mfupi mpaka kuruhusu mfumuko wa bei?