@KenTheRemedy oya kiongozi niulizie hili swali kwa @nikkwapili je kwa mfano me nina radio yangu na nikaamua kupiga nyimbo za wasanii wangu tu for free kama promo kuna athari yoyote? Na je pia hili swala huoni kama litaleta mataba kwenye music wetu?
PICHA: Wabunge wakimtunza pesa Mbunge wa Viti Maalumu Jacqueline Msongozi wakionesha kufurahishwa na kitendo chake cha kusimama, kutetea na kuomba muongozo kuhusu Mbunge wa Momba Condester Sichalwe kutolewa Bungeni kwa madai ya mavazi yasiyo na maadili. #MillardAyoBUNGENI
Good morning kutoka Dar es salaam, account ya Twitter ya @millardayo imerudishwa, shukrani kwa Twitter HQ, shukrani kwa wote mliosambaza upendo wa kutaka irudi wakiwemo walioniandikia DM’s na SMS…. NB: Account za Millard Ayo Twitter ni 2 tu, hii ya @millardayo na hii ya @ayotv_
Oi @KenTheRemedy niaje, itakuwa tu poa kama dakika ya moja ya hayati #AlbertMangwea ft mtu m bad #Noorah ikihusika kwa hewa, shout out to wana wote wanaosikiliza Xxl, Tchaoo
Salaam, kwa sasa Habari zote za AyoTV/millardayo Twitter zitawekwa ktk ukurasa huu wa @ayotv_ baada ya @millardayo kudukuliwa, HATUNA account nyingine Twitter zaidi ya hizi, tunashukuru kwa msg za pole na kutaka kusaidia kuirudisha iliyodukuliwa, taratibu zinafanyika kuirudisha.
Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo kimebuni teknolojia ya vizuia uzazi kwa panya inayolenga kudhibiti panya kuzaliana kwa wingi na kuharibu mazao shambani na majumbani kikisubiri kupata kibali toka mamlaka husika ili kuingia makubaliano na wenye viwanda kuzalisha teknolojia hiyo