WANAOTAKIWA KUWA OFISINI WAPO MTAANI NA WAOTAKIWA KUWA MTAANI WAPO OFISINI.
Dereva wa lori Elias Jonas anayesubiri kupakia au kushusha mizigo katika Bandari Kavu iliyopo eneo la Mchicha, Sandali Temeke Jijini Dar es Salaam ametaja changamoto wanazopitia.
Jonas ameraja tatu ikiwemo mrundikano wa mizigo mingi kupita uwezo wa kuhudumia, suala la Rushwa, pamoja na huduma ya choo.
He’s not perfect, and honestly I still don’t trust him fully …maybe until he marries me 😅💍 But one thing I know, he’s been a blessing in my life. I truly love this man, and it’s my prayer that we go far and fulfill our dreams together 🤍
The End .
Dont be misled by what looks like a perfect life.
Most of what you see is only the surface. Behind it, there are often struggles, pain, and silent battles that are not shown. Stay grounded, everyone is dealing with something you may not see.🙏🏼
Life likikuvuruga, many of us kimbilio letu ni nyumbani.
Ukishakua mtu mzima una wajibika kutengeneza "nyumbani" kwa watoto wako pia.
At certain point in life, they will need it.
Narudia Tena Matajiri Awana Shukurani Ukipata Nafasi Ya Kupiga Piga Kabisa!!
Ukikamatwa Ukafukuzwa FRESH!!
Watu Washajitoa Sana Na Kuwa Waaminifu Kwa Matajiri Wakaambulia Usenge.
Japo Anapesa Ila Alaaniwe Mzee Masud Popote Ulipo!
Asante🙏🏾
@Mwinshehe07@UuuTuff@Mwinshehe07 mkali sijui umekuwaje, followers wako tunapitia kadhia ya kukutana na picha za utupu timeline yetu kwa sababu ya engagement Yako....
#TajiriLaKihaya
Ni Ukweli Usiopingika kwamba WANAHARAKATI WANALIPWA….
hasa waliopo Nje ya nchi kwa huku kwetu na kuna foundations kibao tu za HUMAN RIGHTS ACTIVISTS karibu kila Nchi duniani kote….
ila Kwa yaliotokea Oct 29. haikuhusiana na Malipo haya wala msukumo wa wanaharakati…
Wananchi wenyewe tu walichoka… kuna raia waliandamana hata hawana SmartPhone… wengine hawapo hata mitandaoni…
Yaliotokea ni matunda ya Udhalimu wa Viongozi wetu….
Huwezi zuia chama kikuu cha Upinzani chama kinachoPendwa zaidi Tanzania nzima- KUTOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU…
Umfunge Mgombea Urais wa Chama…anaependwa zaidi na Vijana…
Alafu u expect ZERO REACTION… HAIWEZEKANI!
Tusijifiche kwenye malipo ya FORD FOUNDATION…
Hawajaanza leo kulipwa… wanalipwa toka enzi… kila mtu analifaham hili… wanalipiwa RENT, CHAKULA na UPKEEP ZOTE na hata Kutoa Elimu, yale ma space nk. Ni kazi kama kazi zingine tu. Wengine wanaotaka kuongeza Elimu… wanapewa ufadhili!
Hili lipo wazi… na sijui kwa nn WANAHARAKATI wanalificha hili,hawataki lijulikane!
Ila haihusiani kivyovyote vile na yaliotokea Oct 29th.
Tuliweke hili sawa!
@NThecure4757@ChachaWegelo mkuu haya non communicable disease (NCD) most of them yanaathiri physiology of which you can't reverse it so, so kusema kwamba akitumia ant hypertensive atakuja kuwa client wa dialysis sio kweli ila itakuwa changamoto pale ambapo mgonjwa atakuwa hajazingatia dawa.
@NThecure4757@ChachaWegelo mkuu haya non communicable disease (NCD) most of them yanaathiri physiology of which you can't reverse it so, so kusema kwamba akitumia ant hypertensive atakuja kuwa client wa dialysis sio kweli ila itakuwa changamoto pale ambapo mgonjwa atakuwa hajazingatia dawa.