@Elsukay0 Mmetufunga mara 5 kama sio 6 mfululizo..game zingne tunatangulia ten mnakuja kuchomoa..leo sisi juz tu kucheza na mgongo wenu kwa kushindwa kuulinda..mnataka Eng hersi aachie ngazi..we we weee..YBWYB😂😂😂
@ShirimaYvonne Mchawi/wachawi ndo watu wenye siri ya hali ya juu hapa duniani...niulizeni mimi niliyewahi kuwa mchawi jamanii...tulikuwa na siri hata TISS hawatuwezi hakuna mfano
@Sandra95TZ Hiyo kitu nayo huko chini kati kati ya mapaja ilivyo na sura mbaya nayo ndo yakuninyima mimi mwanaume kweli tuzungushane mwez mzima na bado sku ukinipa unakuta ina mashavu kam inapuliza moto asee😂😂ah we baki single tu hadi kaburin
@fikrachanya@millardayo Basiii usiandike sana ndugu wasioelewa watakujia juu bure...so far marehem nae alikuwa mtata michezo ya visu na spoku kwake ilikuwa kawaida na kawahi kukaa mahabusu mara kadhaa kwa tabia za uporaji na kukaba..usela ukizidi sana nongwa tupunguze usela
@McinikaWaLamar Maneno tu hayo watu tumenunua vyote hvo used na hatujawah tembea na mikosi wala nuksi za watu na tunafanikiwa,tunavaa mitumba inatoka ulaya huko nini godoro na kitanda