Watu MAARUFU wanapitia maisha magumu sana kuliko sisi watu ambao hatuna majina kabisa.
Kama watu MAARUFU wangeamua kuwa upande wa HAKI basi hili taifa lingepata UKOMBOZI kitambo sana.
Shida ni kwamba kupitia UGUMU wao wa maisha WAKOLONI WEUSI ndio humo humo wanapita nao kusaidia ajenda zao zisonge mbele.
Wewe fikiria tuu Leo watu wote MASHUHURI wangesimama upande wa wananchi kudai โNO REFORM NO ELECTIONโ unadhani tungefika mwezi huu wa Tatu hata bungeni hawajalijadili hilo?
Shida ni kwamba, WAKOLONI WEUSI wamefanikiwa KUTUTIA UMASKINI WA KUTUPWA na kisha kuanza kutumia watu mashuhuri kama TISHU zao kusafisha njia maisha ya WAKOLONI WEUSI waendelee kutamba.
Leo Hii watu mashuhuri wangeamua kusimama na wananchi KUPINGA UTEKAJI nchini unadhani wakina MAFWELE wangekuwa maofisini wanapandishwa vyeo kila siku?
Shida ni NJAA na UMASKINI waliotupa WAKOLONI WEUSI, wamewafanya watu wenye MAJINA kuwa OMBA OMBA na TEGEMEZI maisha yao bila WAKOLONI WEUSI yaonekane hayawezekani.
Na wao kwakuwa waoga wa NJAA, UBINAFSI na UMASKINI wa kwenye familia zao wanabariki MFUMO na kufanya kama ndio maisha ya kawaida.
Sema hii haiwezi kuwa SULUHU ya maisha YETU yote chini ya jua, ipo siku inakuja isiyo na jina, sisi tuliowapa majina hao watu mashuhuri tutaamua kuungana na kupambana na HAO WAKOLONI WEUSI na hapo ndio itakuwa Mwisho wa sinema nzima.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
SATIVA17๐ซก
Double your money on Paripesa
Code: HKL23
Fungua account yako Paripesa, Link โก๏ธ: https://t.co/mBPEEu1d7J
Promocode jaza: BUKUJERO
Bonus ya hadi 280k on your first deposit ๐