Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kusaport ushoga, sijui hata kwanini! Unakuta ndio wanakuwa karibu na hawa watu, wakianzisha kitu wapo, sijui nini wapoo! Ayiii... Aisee! Ni mbaya.
Kuna muda unakutana na pisi moja kali imenyooka kupita maelezo, unaomba namba halafu ukirudi home ukatulia na kufikiria vizuri unaona hiyo namba bora ufute tu mambo ya kujiongezea bajeti ni ufala sana. πππ
Huu ubao una maana nyingi.
1- Hapa kuna mamba kwa hiyo usiogelee.
2- mamba hawaogelei hapa
3- Nyie mamba msiogelee hapa
Kwa hiyo wewe unaondoka na upi hapa..!!!π