On-going Training of Trainers Regional experts to support the Comprehensive Africa Agriculture Development Programme
(CAADP) post 3rd Biennial Review Report dialogues and the 4th Biennial Review process,
14 -18 March 2022 #Abidjan, Cote d’Ivoire.
"Sheria za Uwekezaji zinapaswa zipitiwe na kuona namna ya kuzifanya rafiki kwa wote kwani humpendelea mwekezaji wa nje zaidi kuliko wa ndani"
- Jovina Nawenzake - Mkuu wa Programu @ActionaidTz#TaxJustice#SealingTheGaps#HakiKodi#NguvuYaKodi
1/2
Ilibainika kuwa kati ya mwaka wa 2013 na 2021, athari zitokanazo na uzembe wa ndani, ukwepaji kodi, vivutio hatari vya kodi, mikataba ya kodi maradufu na mtiririko wa fedha haramu umesababisha hasara inayokadiriwa kufika: ....
#SealingTheGaps#HakiKodi#NguvuYaKodi
I thank the leadership of @MSTCDC, @EAC_yap and other partners for innovatively working together for the youth. @jumuiya is very much honoured for the presence of the Patron, H.E @jmkikwete and the work he has done for the youth despite his retirement - @pmathuki.
#YouLead21
Jukwaa la wakulima wamepata fursa
ya kukutana tarehe 28/10/2021 Mjini
Dodoma na Naibu Waziri wa Kilimo
Mh.Hussein Bashe, kufuatilia ahadi
mbalimbali alizoahidi wakati wa
kongomano kitaifa la Wakulima
wadogo wadogo lililofanyika mwaka
2019.
#WakulimaMashujaa#SWFFTanzania
“Baada ya uwepo wa uhaba wa vifaa,serikali itatoa mobile kits ikiwemo vipima udongo na pikipiki 1500 kwa maofisa ugani katika Halmashauri 40 kwa mikoa mitatu Dodoma, Singida na Simiyu kwa mwaka wa fedha 2021/22”- Mhe. Bashe
@actionaidtz#wakulimamashujaa#swfftanzania
“Naishukuru serikali kwa kufanya zao la dengu kuwa zao la kimkakati na kufanya maamuzi kuhusu dengu zilizokua zimezuiliwa mkoa wa Shinyanga.” – Fredina Said
ActionAid
#swfftanzania#wakulimatz#ActionAid
“Nimeagiza viongozi wa ushirika wawaajili maafisa ugani 10 (Lindi,mwambao, na lunari). Kwa msimu huu Serikali itatoa tani 30 ya mbegu za ufuta mkoa wa Lindi na Mtwara kwa majaribio kwa wakulima” - Mhe.Bashe
@actionaidtz#wakulimamashujaa#ActionAid#swfftanzania
DAY 2
Wednesday 27th Oct 2021- Trend in Public Sector Wage Bill from 3:00pm-5:00pm at Royal Village Hotel, Kitange Hall.
Trends in the public sector wage bill and their implications on public service delivery.
Speaker: Dr. Balozi Morwa, Tax Advisor AATZ
#CSOWeek2021