@kikumbih @MfanyakaziNews Kwani IGO anakinbizana na panya road mitaani? Ni qeledi wa uongozi na kusimamia taurati ya kazi bila kupendelea Wala kuonea mtu.
@NBCTanzania@GobokaMohamedi Ukiwekeza na NBC, baada ya ๐ ๐ถ๐ฒ๐๐ถ 3 ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐ฒ๐น๐ฒ๐๐ฒ๐ธ๐ฎ.
Anza leo na Tsh 500,000 tu upate faida ndani ya miezi 3, 6 au mwaka.
Tembelea tawi lolote la NBC kuwekeza sasa ua wasiliana nasi BURE 0800 711 177 kwa maelezo zaidi.
KUWENI WAKWELI
@Emmanue06057860@NBCTanzania Maamfisa biashara wa benki mnazidiwa na wauza dawa za viroboto chawa na kinguni- wakitangaza wanaweka na Bei,nyie mnataja kiasi Cha kuanza kuweka pesa na mda mtafanyia biashara ( miezi 3,6,9 au 12) ila mnalipa riba kiasi gani na Kodi ni Siri yenu. Endeleen kusubir
@NBCTanzania@Dreamchaser364 Wenzenu mabasi SAA 24 benki mmnafungua SAA 2:30 muannze michapo, mpk kufika kaunta SAA 3, hela zangu natunza darini, anytime nachukua na naweka.
@NABEELRAJAB@IDF ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ what Hamas did to Israelites and other nationals at music festival , to you was right. It's like soear to a pig but to human is painful.
Mzungumzaji wa lugha 5 na Msomi wa juu, mwenye uzoefu wa Uongozi ndani ya Kanisa tena Mwenye Misimamo Imara juu ya Mafundisho ya Mungu na Imani ya Kanisa Katoliki ya Kupinga Ushoga, Utoaji Mimba, Ndoa za Jinsia moja nk. Tuombe Mungu Kadinali Robert Sarah wa Guinea awe Papa ajaye.
@JamiiForums Huo ni ushahidi wa kesi ya unyanganyi , nankwa Nini asingempa shemejiye hio 10 m afanye ujasiriamali badala ya kuwa mporaji au alikuwa anamwekea hela ya wizi.
Mama amefungwa miaka 22 Kwa kukutwa na nyama ya swala, aliyeua tembo anahukumiwa miezi 5 na faini ya 300K ! Tembo mmoja ni sawa na Swala wangapi ? Sheria zetu zinabagua ?
@Aduiwayanga@nyuki_malkia Mtandao wa hio biashara ni hatari, Kuna godmaza wao wanawapendezesha mjini, tu- IST, range za kukodi, saloon, tuhela twa vocha na marejesho kazi ndo hio.
@visegrad24 Am afraid the western media has no more than israel Hamas war, yet says no data for hamas fighters death but only women children and elderly dying๐ค