"Upinzani Upo kwa Faida ya Woote hata kwenu @tanpol kwasababu pia hua wanagusia Hali zenu za Kimaisha. Mnaishi kwenye Nyumba za Mabox na Mabati akili zenu Zimeishia Mule, ni Bahati nzuri Sana Mijini hakuna Fisi Tungepoteza Askari Wengi sana kwa kuliwa na Fisi" :~ Askofu Kakobe
Katika uzinduzi wa msingi wa CHADEMA (Tabata - Kimanga) kuelekea katika mkutano wa hadhara katika viwanja vya Tabata - Shule, Jimbo la Segerea, Dar es Salaam. #noreformsnoelection
Huwa najiuliza, hivi majaji wa Tz na ubobevu wao mkubwa kwenye elimu ya sheria, wanajisikiaje kuwa chini ya maelekezo ya wanasiasa ambao wengi wao hawana kabisa elimu ya sheria? Sio kwamba majaji walipaswa kuwa mstari wa mbele kudai uhuru wa mahakama ambao ni uhuru wao pia?
โNi heri kuwahi kuliko kuchelewa.โ Kwenye ulimwengu wa ajira kauli mbiu hii imekuwa ya wengi sana haswa Katika dunia ambayo waajiri hulalamikia uchelewaji vilevile mara nyingi kuwahi katika usaili huonekana kama ishara ya nidhamu na kujituma kwa waomba ajira ili kujiongezea nafasi ya kuajiliwa, lakini hii imekuwa tofauti kwa kijana mmoja huko Marekani ambapo kuwahi kwake kwa dakika 25 kabla ya muda rasmi wa usaili kuligeuka kuwa tiketi ya yeye kukosa kazi.
Kupitia mtandao wa LinkedIn Mmiliki wa kampuni ya usafi mjini Atlanta, Matthew Prewett aliweka wazi kuwa alikataa kumuajiri kijana huyo kwa sababu alifika mapema mno kwenye usaili wa nafasi ya msaidizi wa ofisi ambapo alidai kuwa kijana huyo alifika dakika 25 kabla ya muda na kufanya hiyo kuwa moja ya sababu kubwa za kutomchagua.
Alifafanua kuwa ingawa kuwahi ni jambo jema lakini kufika mapema kupita kiasi kunaweza kuashiria kutokuwa na uelewa wa kijamii au kudhani unapaswa kupewa kipaumbele vilevile alisema uwepo wa kijana huyo mapema ulimlazimisha aharakishe kazi zake na kumfanya ajisikie kukosa faragha Ofisini kwake.
Chapisho hilo liliibua mjadala mkali mtandaoni ambapo baadhi ya Watu walimuunga mkono Mwajiri huyo lakini wengi walimtetea kijana huyo wakisema labda alikuwa anaogopa kuchelewa au hakuwa na usafiri wa uhakika hivyo kuwahi kwake inapaswa kuonekana kama juhudi na si kosa aliandika mtumiaji mmoja.
Wengine walienda mbali zaidi na kusema wangempatia kazi mara moja kwa kuonyesha namna alivyothamini muda lakini kwa Prewett ambaye ndie muajiri ujumbe ulikuwa wazi akisisitiza kwamba kuwahi ni vizuri lakini kuwahi mno kunaweza kugharimu zaidi ya unavyodhani.
#MillardAyoUPDATES
Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA @TunduALissu akiwahutubia wakazi wa Mbeya Mjini katika oparesheni ya #noreformsnoelection. Hoja hizi MaCCM yameshindwa kuzijibu. MaCCM yameamua kumkamata na kumstaki kwa uhaini. Hoja hazifungwi gerezani. Hoja zijibiwe. #FreeLissu#LissuSioMhaini
Swali Zuri:
Je nikiwa na intention ya kuuwa lakini sitendi jambo la kuuwa, ninaweza kushtakiwa kwa kuuwa?
The answer is NO!
Ili kuwe na JINAI lazim kuwe na MENS REA (intention) na ACTUS REUS (tendo).
Hata kama Lissu ka-intend UHAINI, hajatenda UHAINI!
Mkuu wa kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania anafanya haya!!!
Katiba yetu imekataza kabisa vyombo hivi kujihusisha na masuala ya kisiasa..
Kama ni Nchi inayofuata misingi ya kisheria huyu anastahili kushitakiwa na kufungwa.
Hawa wanaandaa bomu la hatari mno, itakuaje mkuu wa kikosi anaeunga mkono chadema akifanya haya?