Be Passionate, and Make a Difference! ...
Making a difference is about finding what makes you happy so that you can embrace it and share it with others.
Ipo siku si mbali kundi hili kubwa la fata upepo chini ya boss wao watajua gharama ya hiki walichofanya.
It's pain, it's frustrated kuwaona wanashindwa kuona mabaya yaliyopo ktk muswada huo walioupitisha.
Mbaya zaidi watanzania wengi wako busy na gossips as if nothing happen๐ญ
Hisense smart tv 43โ hiyo iko Dar sokoni kwa bei ya 540k
Iko na receipt zake.
For serious customer plse call 0772606126
Naomba repost nyingi iwezekanavyo apatikane mteja kusaidia mgonjwa wetu๐๐พ
@MarekaMalili@Kiganyi_
Rushwa na ucheleweshaji wa kesi vinadhoofisha mfumo wa haki. Wananchi wanapokosa haki kwa wakati, imani yao kwa mfumo hupotea.
Haki icheleweshwayo ni haki iliyonyimwa.
#LHRC2025@humanrightstz
Hizi zilikua Mali za wenye viwanda vya ukataji minofu ya samaki.
Siku hizi ni mali za mwenye kisu kikali.
Kuna Wazee wetu waliamini Minofu ya Sangara ni mali za "Wazungu"
Tusisite kuwaambia huu ni urithi wetu.
Nipigie 0762344677