Mwezi april ni mwezi wenye mambo mengi sana hasa kwa vilabu vya #tanzania vinavyowakilisha michuano ya Africa yaani Champion league na Confederation cup! Nikiwa kama mzalendo wa taifa hili la Tanzania nawatakia @SimbaSCTanzania na @yangasc1935 uwakilishi mzuri katika hatua hii!