@Sisimizi3 Akili hamna badala ya kuhangaika na bei ya mafuta kupunguza maumivu kwa wananchi wewe na genge lako la waharifu mnawaza kukamata akina sativa! Kwahiyo mkishawakamata matatizo ya wananchi yatakuwa yameisha? MATAKO YENU
@MtataProMax Sawa chawa Pro max mwenye jicho la kiwakili ila nakukumbusha mabwana zako wakichomoa betri usije na sifa za kinga tena hapa maana siyo muda mrefu
@Thommunkondya Wewe unajibu kwa hisia, TAL kasema hadharani hajapewa chakula hakuna aliyekanusha hata baada ya kesi kuahirishwa ili apatiwe chakula haikuwa hivyo sasa dharula gani hiyo kama siyo makusudi?
@Sisimizi3 Tร tizo siyo kununua nyingine! Ni kweli dhahabu iko nyingi Sana issue ni wana mikakati gani ya baadaye kuimarisha uchumi? Kama sasa hawana mikakati ya kuimarisha uchumi mpaka wanaamua kuuza gold reserver baada ya reserve kuuzwa nini kitafuata?
@ridhiwankikwete Unafiki WA level ya juu Sana! Unawezaje kuongea huu unafiki Kwa mpinzani WA nchi jirani ili Hali wapinzani wa nchi yako wanaitwa wahaini
@Jambotv_ Hii taarifa imekaa kinafiki Sana! Kwamba athibitishe kama polepole alikuwa mpangaji wa hiyo nyumba na athibitishe kama ofisa wa polisi kahusika na hapo tuamini kuna uchunguzi kweli? Huo ni utani
@RahmaMwita Ndo maana kuna kutenda dhambi na kutubu! Huyu katubu na kwasasa anatusaidia kupambana na CCM Kwa kuzidi kufichua Yale huwa wanafanya ndani ya chama chao
Huyu ni Bora kwasababu anapambana na CCM kuliko nyie tawi la CCM ambao mpo Kwa ajili ya kuvuruga upinzani