Hii nyumba tungemsaidia @HecheJohn kumalizia - wenye uwezo wamnunulie simenti, vigae, tiles nk tumalize
Tusimpe directly pesa wasije wakasema kaiba 🙄 tumpeleke vifaa vya ujenzi ili watokwe na povu zaidi!
Sijui mnaonaje hili wazo?
Watanzania @HecheJohn na @TunduALissu wanatuhitaji kupita kiasi.
Heche anapigwa vita sababu kuna viongozi ndani ya Chadema wamefika bei ya maridhiano na CCM so wanajaribu kumuondoa Heche ili waweke mtu ambae atafanya maridhiano..
Hii OUTPUT inatokana na INPUTS!
Hongera sana kwa viongozi wenzangu wa Kanda ya Nyasa wa ngazi zote. Toka Kanda, Mikoa yote 5, Majimbo 32 na Kata na Matawi yote… Chama kiko salama na imara kuliko jana!
#FREELISSU#KatibaMpyaNiSasa#LiMwenyekiti
Mwezi June ulete;
1. Amani ya akili, furaha ya moyo.
2. Upendo wa dhati, ukarimu wa heri.
3. Marafiki wa kweli, familia yenye upendo.
4. Matumaini mapya, ndoto zinazokamilika.
5. Uzima wa mwili na roho, utendaji ulio bora.
6. Nguvu katika magumu, shukrani kwa baraka.
Kuna mtu kaandika hivi kule Jamii Forum !!
“ Huu msemo wa Africa bado tuna safari ndefu, sio sahihi. Sisi hatuna safari ndefu na wala fupi. Hatuna kabisa safari yoyote”