@zoetjesheeftX Ukiona milio imezidi ujue kuna sehemu kumeminywa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Yupo sahih na wote wenye kaul za hvyo jua wameumizwa na mahusiano ndio maana wanatoa kauli za kujifariji
Tunarud kwa wahenga na Hadithi ya Sungura ๐๐ข๐ณ๐ข๐ญ๐๐ค๐ข ๐ฆ๐๐ข๐ฏ๐ฎ ๐ก๐ข๐ณ๐ข ๐