Tatizo wafanyabiashara wenu walikuwa washazoea tamaa kitu cha kupata faida ya 5k wanaforce wapate faida 20k . Anyways sisi kama wanunuzi tunasema WACHINA WAJE KWA WINGI
@MichaelMwebe Credit to master Gamond ,kwa kumpa nafasi kumuita na kumtumia despite ya maneno maneno alizidi kumuamini na alionesha kwa nini anaaminiwa
@iamFallacy ๐๐๐๐๐ kwamba ukiwa Mtoto wa Rais ndo utembelee miguu au boda au IST?
Sio kwa ubaya Abdul yuko sahihi Kila mtu ana wish ya kuendesha ndinga Kali ni nafasi tu hazijatokea๐