@BestH0PE@kasesco_tz@kilepi_tweve Ameelezea vizuri tu dish nje linaweza kua la kampuni yeyote, ila ulielekeze uelekeo wa frequency za kisimbusi husika. Pia LNB uigeuze kidogo.
@fbuyobe Kwanza hapo kwenye kukopeshwa tu kuna tatizo, yaani mtu hamjuani mmekutana Kenya akukopeshe 4m? Msuya alijifanya mwema ili aaminiwe atimize malengo yake. Kwenye maisha muogope sana mtu anaejifanya mwema sana kwako.