@pastajoshuatz Haya makanisa yanaitwa ya mabonde na milima c ndio, na mambonde tumeyaona na milima tumeiona cyoooo lkn hta tukijtaid vipi kuupendeza ulimwengu ipo cku tutauacha tuu..
@og_outfits Unajua wanawake ni viumbe wa ajabu ktk hii dunia ona sasa tayari anaanza kujutia kwa nini hakumvumilia hyo mwanaume...? Hili ni soma kwa wengine.. waambe wa copy itawasaidia baadae