"Kulingana na utafiti uliofanyika ulionesha kwamba vyombo vya habari vingi vinaripoti zaidi masuala ya kisiasa na sekta nyingine kuliko masuala ya haki ya afya ya uzazi, lakini pia wanahabari walithibitisha kukosa uelewa wa kutosha wa kuhusu haki ya afya ya uzazi." Mkurugenzi wa @TAMWA_ - Rose Reuben
#HakiZaAfyaYaUzazi
#SexualReproductiveHealthRights