Ukiwa unaishi kigetto getto kama mwanafunzi basi make sure unaconnection na unatengeneza urafiki na mama ntilie, mangi na dereva boda boda au bajaji hawa watu ni muhimu sana kwa maisha ya mtaani......thanx me later..
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 276
Mhe. Lissu anaendelea
Anauliza
Hayao ya kusema sijui tutaifanyaje Serikali Mmeyatoa wapi? Mlimuuliza nani? Hiyo nia ya mazungumzo yangu yalikuwa ni kuwaelewesha watia nia wetu juu ya matatizo ya mfumo wetu wa Uchaguzi.
Mambo ya kuitishia serikali na kwamba tutaifanya nini serikali, kuvuruga Uchaguzi sio kosa na kuzuia uchaguzi na kukinukisha mngeniuliza ningewaambia maana yake ni nini?
Nia yetu ilikuwa ni hiyo na tukipeleka kila mahali nia yetu hiyo. Sisi sio Conspirators.
Mimi siongozi Chama cha Conspirators, mimi naongoza Chama cha wapigania Demokrasia.
Tutakapokutana kesho kutwa nataka niwapitishe kwenye ushahidi ulioletwa kwenu niwapitishe kama unatosha kunyonga mtu. Tuahirishe hadi jumatano.
Nawashukuru kwa kunisikiliza.
Majaji wakubali ombi la Mhe. Lissu la kuhairisha kesi hadi siku ya Jumatano yani Tarehe 26/08/2026 saa tatu asubuhi
Naomba Repost yako.
“Mwenyekiti wetu, Freeman A. Mbowe akadai katiba mpya, akafunguliwa kesi ya ugaidi, akakaa gereza la Ukonga miezi 8, pale nilipowekwa mimi sasa. Tukapambana na kesi ya uongo ya ugaidi. Wakamkuta na kesi ya kujibu. Siku ya kutakiwa kujitetea hatukumuona tena Mahakamani, bali akatokea Ikulu. Hata jana nimesikia yupo huko Rufiji kwenye uzinduzi wa bwawa la Mwl, Nyerere, anahudhuria uzinduzi wa bwawa ka maji wakati mwenyekiti wake nipo kizimbani kwenye kesi ya uhaini. Mwenzetu yupo na mama.”
Tundu A.M Lissu, Mahakama Kuu, 24.08.2026
"Jana Stephen Wassira alisema kwamba hatutamsamehe Mhe. @TunduALissu kesi itaendelea, hatutamsamehe kama tulivyomsamehe @freemanmbowetz, Wasira alikuwa wamewasiliana na hao majaji? tunataka atuambie hayo maneno ameyatoa wapi." Mhe. @HecheJohn
Jaji Dunstan Nduguru amehairisha shauri hadi jumatatu 23 August 2026 saa tatu asubuhi ambapo Tundu Lissu ataendelea na utetezi wake katika kesi ya uhaini inayomkabili. TAL ameanza kujitetea mwenyewe akiwa ni shahidi wa kwanza uoande wa utetezi. WE SHALL OVERCOME. #FreeTunduLissu
Simba iachane na Mo
Simba ikitaka kuendelea
Simba ikitaka kufika mbali waaachane na kanji
Simba wanapaswa kurudi kwenye zama zake Mo ana wafelisha sana simba muda flani
#Repost@hechejohn
Watanzania wengi wanaporwa haki zao kwasababu ya kutokujua..
Unaenda Kwenye shughuli ya wananchi na mabunduki ili kuwajaza hofu waogope upate upenyo wa kupora mali zao.
Nampongeza sana huyu mama kwa namna ambavyo amejisimamia.
Aliepaswa kupima ardhi na kupanga mji alikua wapi miaka yote hii?
Watu wamejenga hao watu wa ardhi na manispaa ipo inaona alafu leo ndio wanaleta vitisho kwa wananchi.
Shame on you ccm na Utawala dhalimu.
URGENT: TUNDU LISSU’S LIFE IS IN DANGER
Credible information indicates that Tundu Lissu’s life is at serious risk.
For more than 470 days, Tundu Lissu has been held in detention in Tanzania as an unconvicted prisoner, without a fair and timely resolution of his case.
His continued detention has drawn widespread international condemnation:
1. Amnesty International has declared his arrest unjust and called for his immediate release.
2. The UN Working Group on Arbitrary Detention has concluded that his detention is arbitrary.
3. On 10 July 2026, the Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) called on the Government of Tanzania to resolve his detention within 30 days.
For more than two decades, Tundu Lissu has faced relentless persecution for his peaceful advocacy for democracy, the rule of law, and the protection of fundamental freedoms in Tanzania. In 2017, he narrowly survived an assassination attempt after being shot multiple times.
The Tanzanian authorities bear full responsibility for Tundu Lissu’s safety, health, and life.
Protect Tundu Lissu.
The world is watching.
—Admin
@MichaelMwebe Yani wewe baba wa familia umuahidi mkeo nizalie mtoto mwingine nitahudumia familia, alaf akizaa umwambie pambana ili niwahudumie.Ahadi wametoa wao 😂 kwamba ndani ya siku 100 baada ya kushinda uchaguzi tutaanzisha mchakato wa katiba mpya lakini sasa hivi tuatakiwa sisi kupambana
Wananchi wa Kisaki wakilalamika ndugu zaoekuuwawa na Askari wa wanyama Pori, wamesema msituni kuna mafuvu mengi ya binadamu WENZAO. #MsiogopeTunashinda
Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Martin Chegere ameandika historia kwa kuwa mmoja ya Watanzania wenye umri mdogo zaidi (miaka 39) kuwahi kufikia ngazi ya Profesa.
Taarifa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ya Juni 25 2026 imeeleza kuwa, Profesa Chegere amefikia ngazi hiyo (Associate Professor) Juni 24, 2026 kwa kupanda akitokea ngazi ya Mhadhiri Mwandamizi, baada ya kupata alama 8.39 kwa ukufunzi, utafiti na machapisho ya tafiti za kiakademia.