@Labella_Mafia95 Formula ni Ile Ile , Two way traffic.. hii kitu isipokuwa applied kwenye kila kitu .. tunarudi kwenye factory reset (Mfalme Suleiman formula)
@MarekaMalili Kila mara huwa nawaambia Wana, Oa rafiki yako usioe mwanamke kwa status yake .. i mean .. rafiki yako hata mkigombana mnajua namna ya kuombana msamaha,akipata madaraka,pesa,utajiri hato kudharau au kukutupa..coz ts your friend..Sasa oa tako,rangi au mwenye utajiri.π