@CRDBBankPlc nimlipia huduma kwa simbanking tareh 24/4 mkakata hela. Tarehe 28/4 mmekata kiasi kile kile na notigication zote nimepata. Bado hadi sasa mmezuia same amount?h
Wizi unaofanywa na @VodacomTanzania wiki hii sio mchezo. Ndio mnatafuta gawio au zawadi za watu wenu za xmas? Kweli GB 1.2 saa7 mchana ss imeisha kwa wats app tu? Mwingine kanunua bando la msg la mwezi jana leo limeisha kweli? GB mtasema nimedownload haya msg 2000 nazo zimeishaje
Kituo cha Afya Sokoine, kilichoko Singida mjini ni miongoni mwa vituo vya kutolea huduma za afya kilochopokea vifaa vya huduma za dharura za uzazi pingazi (CeMONC), kutoka MSD hivi karibuni.
Haya ni miongoni mwa maboresho ambayo Bohari ya Dawa (MSD) imefanikisha upande wa huduma za kichunguzi na maabara nchini, kwa kuleta vifaatiba vya kisasa, vyenye kutumia teknolojia ya kisasa ili kuenenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia ulimwenguni.
@CRDBBankPlc mnazingua na huduma zenu za customer care napiga na kufuata maelekezo. Kote selection ninazofanya zinakuwa sawa. Ikifika y mwisho nikachagua bado mnasema bado sijachagua.