Huwezi kuambukizwa virusi vya ukimwi kwa kukaa pamoja na muathirika kukumbatiana kula pamoja wala kulala pamoja..Bali virusi na ukimwi wenyewe huambukizwa kwa kuchangia damu na muathirika kujamiiana bila kinga na muathirika
#TIPofficial#RafikikapimeHiv