Jamii ingelikua na elimu ya kutosha nazani izi ndoa zisinge kuepo na wala kuziskia ata siku Moja. Kwaiyo nmda sahihi wa kuzipatia jamii zetu elimu ya kutosha kuusiana na madhala ya ndoa za utotoni..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Vijana kutoka wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza wamo katika mafunzo yanayoendeshwa na TIP kuhusiana na Afya ya Uzazi na Stadi za maisha.
Pichani ni mratibu mwandamizi wa ufundi kutoka TIP Shukuru Mohammed akiendesha moja ya vipindi vya mafunzo hayo leo jijini Mwanza.
" vijana inatakiw muwe wabunifu" uo ni usia wa Harris Kapiga alio tuachia Sisi vijana pind alipo kua nasi uku BUCHOSA. Na Mimi naomb ni share na nyinyi vijana wenzangu kwakua wabunifu siku kama ya Leo na at badae. Nawatakia maazimisho mema
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Tushikamane Kwa pamoja kuweza kupinga ivi vitendo vya ukatili Kwa watoto wakike. Tuendelee kupinga vitendo ivi vya ubakaji na ulawiti na iyo ndio njia pekee ya kuwawezesha kutimiza ndoto zao bila Shida yeyote. Mimi namlinda wewe je?..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Ewe mzazi ama mlezi unaemfanyia mtoto kitend kama iki, jiulize ungekua ndio wewe mtoto WA kike alafu unafanyiwa ivi unaisi ungejiskiaje? kwaiyo tupambane kupinga izi ndoa za utotoni tuzitokomeze kabisa na watoto wapewe haki zao za kimsingi
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Jukumu langu na lako wewe apo NI kuakikisha tunapinga izi ndoa za utotoni kwani bado imekua tishio kubwa, inaitajika Mimi na wewe kuweza kushikamana Kwa pamoja na kupinga vitendo ivi vya ukatili..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Ni maalumu Kwa watanzania wote na wakulima kuflahi Kwa pamoja, na pia tukiwa tunaendelea kukumbushana juu ya upimaji wa HIV na pia kuzuia ukatili wa kijinsia asa Kwa watoto wa kike..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Mzazi na mlezi ni mda wa kukemea ivi vitendo vya ukatili katika majumba yetu. Tuendelee kushikamana Kwa pamoja na kupaza sauti na kukemea vitendo vya ukatili Kwa watoto.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Ni muimu zaidi kama tukiendelea kufuata Sheria iyo na kuacha ukandamizaji wa watoto na kuwatendea mambo yasiyo staiki ata kidogo. Tuzidi kuwalinda na kuwatetea..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Izi ndoa zimekua nitishio Sana Kwa watoto wa kike, na ii inatokana na kutokua na uwiano sahihi katika familia zetu. Ni jukumu la kila mmoja wetu kusimama imala na kupinga izi ndoa za chini ya umri.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Kila mzazi mwenye kupenda kuona mtoto wa kike anafanikiwa ni jukumu langu na lako wewe pia kuakikisha tunakemea mimba za utotoni sababu zimekua zina leta athari kubwa Kwa watoto wa kike. Tupambane tushikamane kutokomeza mimba za utotoni.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Kalibuni Sana mnakalibishwa Kwa wale mtakao kua mazingila ayoo kalibuni tushiliki wote kupima afya zetu kwani afya ni mtaji, kalibuni Sana tena zaidi ya sana na Mwenyezi mungu awabariki ahsanteni Sana..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Elimu ndio msingi wa maisha na Elimu ndio ufunguo wa kuweza kutambua baazi ya mambo. Ewe mzazi mpeleke mtoto akapate Elimu ya kutambua na yakuelewa, usimnyanyapae Kwa kumnyima Elimu mpe haki yake ya msingi.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Mdau wangu kumbuka mala ya mwisho kupima ilikua NI lini? Kumbuka unatakiwa kua unapima kila baada ya miezi mitatu3, usiogope kwenda ukipima VVU iyo itakufanya uishi Kwa kujiamni na mwenye kujilinda na kuwalinga wengine.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Sisi sote ni huru na sisi sote ni sawa, tushilikiane Kwa pamoja tusibaguane wala tustengane, tushilikiane Kwa pamoja katika shuguri zozote zenye kuleta manufaa kwetu..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Haki azitendeki Kwa usawa, maskini wanazulumiwa haki zao na matajili wanafanyiwa ukatili wa kijinsia. Wewe unae soma post ii basi uko uliko kama kuna vitendo vya namna ii ni mda wa kupaza sauti na kuusema ukweliii..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto