Upendo WA watoto kwanzia ndani ya familia zetu mpaka nje dunian kote tuwe mifano mizuri kuwaelekeza watoto mambo sahihi yanayowapasa nao watakuwa watu Bora ukubwani .
#zuiaukatilikwawatoto#agipah#rafikikapimehiv#tip
Tunaiomba serikali yetu kuliangalia swala Hili kwa Jicho Pana ili kiwasaidia na kuwaepushia watoto wa kike mazingira magumu wanayokutana nayo pindi wanapohitaji msaada
#zuiaukatilikwawatoto#agipah#Tip