Watanzania wenzangu tusibaki nyuma ktk swala zima la afya zetu ivo bas tunatakiwa tufanye maamzi kama watanzania tunaojiamini twende tukapime HIV/VVU tupate uhakika wa afya zetu pamoja tunaweza kuishi Tz bila HIV/VVU
#rafikikapimeHIV#agpahi@TIPOfficial__@laidu78@RJishoni
Shughuli ya TIP kuaga na kukabidhi mradi kwa halmashauri na viongozi wa dini imeendelea tena ambapo halmashauri ya wilaya ya mwisho ilikuwa ni Kwimba.
Pichani ni matukio tofauti wakati wa makabidhiano hayo
Siku ya leo TIP imekamilisha ziara ya kukabidhi miradi kwa kufanya zoezi hili katika ngazi ya mkoa kwa viongozi wa serikali na wa kidini. Hapo ni picha mbalimbali za mawasilisho na ripoti.