Mzazi na mlezi ni mda wa kukemea ivi vitendo vya ukatili katika majumba yetu. Tuendelee kushikamana Kwa pamoja na kupaza sauti na kukemea vitendo vya ukatili Kwa watoto.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Mwache mtoto akue vizur, apate haki zake na aweze kuwa na maamuzi sahihi pindi anakua mtu mzima.
Mzazi au mlezi mlee mtoto Katika njia impasayo maaana hataiacha hata atakapokua Mzee.
#ZuiaUkatiliKwaWatoto#tuwalindewatoto@agpahi@TIPOfficial__
Wanafunzi wanaoshiriki afua ya watoto wenye umri wa miaka 9 hadi 14 inayowajenga kuwa wanaume Bora wa baadaye kwa kufundishwa namna ya kutambua na kupinga ukatili wa kijinsia. Hii ni moja ya shule inayotekeleza mradi unaosimamiwa na TIP na kufadhiliwa na CDC & @agpahi
Ndoa za watoto chini ya umri wa miaka18 ni hatari kwani hupata maumivu makali wakati wa kujifungua au kufanyiwa upasuaji. Wazazi na walezi tuungane pamoja kuwapa elimu watoto wetu na kuwalea katika njia iwapasayo na tuwakinge dhidi ya ukatili wa kingono.
#ZuiaUkatiliKwaWatoto
Kuna watu humu ndani Kila kukicha ni kuchochea visababishi vya ukatili wa kijinsia, Tutumia mitandao hii kuhakikisha tunaondoa Ukatili wa kijinsia.
@agpahi#ZuiaUkatiliKwaWatoto
Shame on you !! Unafanya ukatili wa kingono kwa mtoto Kisha unapelekwa mahakamani Napo unainajidi mahakama kwa rushwa Kisha unaachiwa guru huku ukijuaumetenda kosa na umemharibia future mtoto wa watu Kisha unatamba daah!
#zuiaukatilikwawatoto@TIPOfficial__@agpahi@GadsonDiana
Mdau wangu kumbuka mala ya mwisho kupima ilikua NI lini? Kumbuka unatakiwa kua unapima kila baada ya miezi mitatu3, usiogope kwenda ukipima VVU iyo itakufanya uishi Kwa kujiamni na mwenye kujilinda na kuwalinga wengine.
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto
Wataalam na wadau mbalimbali ambao wameanza kazi leo ili kutengeneza mwongozo wa kufundishia wauguzi na kada nyingine za afya juu ya ujazaji fomu hiyo kama njia ya kufanya jitihada za kupinga ukatili wa kingono kwa watoto kuwa na afua itakayowafikia kwa njia mbalimbali .