Vijana walio pata elimu juu ya salatan ya kizazi Sasa wameiva wapo tayari kuielimisha jamii kutokana na ugonjwa huo hatari. Wakiwa na @saida_mukhi_msumi katika wilaya ya kwimba.
#TIPdigitalTraining@agpahi
@tanzaniainterfaithpartnership
@DiazSylvester1
GBV is deeply rooted in gender inequality and remains one of the most common human rights violations within all societies. It affects women and girls, men and boys but most of its victims are women and girls more and it affects them dangerously.
#ZuiaUkatiliKwaWototo@agpahi
Wanafunzi wanaoshiriki afua ya watoto wenye umri wa miaka 9 hadi 14 inayowajenga kuwa wanaume Bora wa baadaye kwa kufundishwa namna ya kutambua na kupinga ukatili wa kijinsia. Hii ni moja ya shule inayotekeleza mradi unaosimamiwa na TIP na kufadhiliwa na CDC & @agpahi
Baadhi ya wafanyakazi wa TIP wakiwa katika kikao cha mwisho cha robo mwaka kufanya tathmini ya taarifa za utekelezaji wa mradi wa BORESHA unaofadhiliwa na shirika la @agpahi chini ya utekelezaji unaohusisha jamii na Taasisi za dini (FCI).
Mwili wa aliyewahi kuwa katibu mkuu waTEC Padri Raymond Sabba umeagwa leo jijini Dar es salaam tayari kwa safari ya kwenda Kigoma ambako mazishi yake yatafanyika. Padri Sabba alifariki tarehe tatu 3/8/21 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, 🙏🏿
Governments across the world including Tanzania have committed to end child marriage by 2030 through the Sustainable Development Goals (SDGs). Around 650 million women and girls alive today were married as children.
#ZuiaUkatiliKwaWototo@agpahi@UnitedNationsTZ
Vijana kutoka wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza wamo katika mafunzo yanayoendeshwa na TIP kuhusiana na Afya ya Uzazi na Stadi za maisha.
Pichani ni mratibu mwandamizi wa ufundi kutoka TIP Shukuru Mohammed akiendesha moja ya vipindi vya mafunzo hayo leo jijini Mwanza.
Vijana wa TIP kutoka wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza, ambao wanashiriki kampeni ya upimaji VVU na kupinga ukatili wa kijinsia hasa wa kingono kwa watoto, jana waliandaa hafla maalum kwa ajili ya kuelimishana kuhusu masuala ya afya ya uzazi ikiwemo VVU na stadi nyingine za maisha