Uwindaji wa watoto ni kosa la jinai toa taarifa kwa uongozi pindi utakapo kumbana na ukatili huu
#zuiaukatilikwawatoto
@tanzaniainterfaithpatnership
#kwimba@agpahi
We are running out of food stocks in #Afghanistan. By end September, @WFP warehouses will be empty. We desperately need $200 million to help calm the storm & bring hope to 14 million people across the country who need our help. Our window to deliver before winter is closing FAST.
@ZakayoMmbaga Shida yangu ilikuwa kunyonya ng'ombe nikiwa nachunga. Nakumbuka palikuwa na ng'ombe wetu mpole ambaye nilikuwa namnyonya mpaka ndama wake akakonda sana kwa kukosa maziwa ya mama yake. Sasa siku moja nikashikwa na baba, hicho kichapo huwa nawahadithia wanangu. Sirudii!