AGPAHI is celebrating 10 yrs of impact on HIV/AIDS. It started its implementation in Shinyanga region in 2011, Thereafter,Tanga,Manyara,Simiyu,Mara, Mwanza&Geita.More than 2mil people reached with comprehensive& quality HIV related services &300,000 found HIV+ are on treatment.
Baadhi ya vijana wa TIP kutoka halmashauri ya wilaya ya Buchosa wanaoshiriki kampeni za kupitia mitandao ya kijamii kuhamasisha upimaji VVU kwa wanaume na watoto na kupinga ukatili wa kijinsia wakiwa katika picha ya pamoja jana.
#ZuiaUkatiliKwaWototo
PF3 ni fomu muhimu wakati wa mtu kupata matibabu na kusaidia katika kesi za jinai kama vile kubakwa, na vitu vingine, Ni wakati sasa wa Serikali kubadili fomu zote zinazohusiana na jamii ziwekwe katika lugha mama ya Kiswahili ili kila mtu aweze kuielewa.
Mimba za utotoni huathiri afya, elimu na haki za mtoto wa kike. Mtoto asiye na elimu atakuwa na ugumu kupata ajira na kujijengea maisha bora na familia yake. Msichana anayeshika mimba akiwa na umri wa miaka 14 au chini yake, haki zake zitakuwa zimekiukwa.
#ZuiaUkatiliKwaWatoto
Mimba za Utotoni huathiri afya,Elimu na haki za mtoto wa kike.mtoto wa kike asiye na Elimu atakuwa na ugumu kupata ajira na kujijengea maisha Bora na familia yake.msichana anayeshika mimba akiwa na umri kuanzia miaka 14 au Chini yake haki zake zitakuwa zimekiukwa.
Sasa tuna jeshi la vijana 300 kutoka wilaya ya Ilemela, Kwimba na Buchosa ambalo lipo tayari kuhamasisha jamii kupima HIV na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto.
Mtandaoni tunambulika kupitia neno #RafikiKapimeHIV na #ZuiaUkatiliKwaWatoto.
@agpahi