Taifa linashangaa kuona Wazazi au Walezi kuwa chanzo cha kuwafanyia ukatili watoto ambao ni Wazazi wa badaye Kwa kuwapa Mila na Tamaduni zisizo njema. Wazazi tuwalinde watoto tuzuie ukatili Kwa watoto hasa hawa wa kike
#ZuiaUkatiliKwaWatoto@TIPOfficial__@agpahi@GadsonDiana
Tushikamane Kwa pamoja kuweza kupinga ivi vitendo vya ukatili Kwa watoto wakike. Tuendelee kupinga vitendo ivi vya ubakaji na ulawiti na iyo ndio njia pekee ya kuwawezesha kutimiza ndoto zao bila Shida yeyote. Mimi namlinda wewe je?..
#RafikiKapimeHIV#zuiaukatilikwawatoto