Vijana walio pata elimu juu ya salatan ya kizazi Sasa wameiva wapo tayari kuielimisha jamii kutokana na ugonjwa huo hatari. Wakiwa na @saida_mukhi_msumi katika wilaya ya kwimba.
#TIPdigitalTraining@agpahi
@tanzaniainterfaithpartnership
@DiazSylvester1
Vijana wa TIP kutoka wilaya ya Ilemela mkoa wa Mwanza, ambao wanashiriki kampeni ya upimaji VVU na kupinga ukatili wa kijinsia hasa wa kingono kwa watoto, jana waliandaa hafla maalum kwa ajili ya kuelimishana kuhusu masuala ya afya ya uzazi ikiwemo VVU na stadi nyingine za maisha
Nchini Tanzania wanaume wachache wamejitokeza kupima VVU. Ni asilimia 52.2% wanafahamu hali yao ya Afya juu ya maambukizi ya VVU.Wanawake ni asilimia 64.9%.
TACAIDS2018.
@tanzaniainterfaith_partnership tunakushauri #RafikiKapimeHIV kuna faida nyingi za kujua hali ya afya yako.