‼️MWANAJESHI WA UGANDA AMEANZA KUACHIA VIDEO/PICHA ZA WATU AMBAO WAMETEKWA NA UTAWALA WA MUSEV NA KUFICHWA KWA ZAIDI YA MWAKA‼️
Mwanajeshi wa Uganda Luten Mabonga Herbert Matanda ambae alikuwa mshirika mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Mseven pamoja na Mwanae Gen. Muhoozi Kainerugaba.
Luten Matanda ni moja wa maofisa wa Jeshi la Uganda ambao walikuwa ana access na nyumba ambayo Museven na mwanae walikuwa wakiitumia kuficha na kuwatesea watu ambao wamekuwa wakiwateka wakiwemo Wanaharakati, Wanasiasa wa Upinzani na watu ambao wanakosoa Serikali ya Uganda.
Nyumba hiyo ipo karibia na Ikulu ya Uganda.
Muda wote ambao Luten Matanda alikuwa akifanya kazi na Museven alikuwa anarekodi matukio yote kwa simu yake na kutunza kumbukumbu.
Mwezi uliopita Luten Matanda aliamua kuvunja ushirika wake na Museven pamoja na mwanae, alisema kwamba moyo wake hauna amani kuendelea na kazi hiyo so kwasasa ameamua kusimama upande wa Wananachi.
Tangu mwenzi uliopita anaachia ushahidi wa video za watu waliotekwa na Mseven, wengine tangu watekwe mpaka sasa ni zaidi ya Mwaka mmoja, ndugu zao walishalia msiba wakiamini kwamba huenda walishauwawa kumbe ndugu zao bado wapo hai ila wanahali mbaya kiafya kama mnavoona kwenye hii video na hawa ni baadhi tu ya waliotekwa ambapo wengi ni Wanaharakati na Viongozi/ Wanachama wa Chama cha National Unity Platform (NUP) kinachoongozwa na Bobi Wine.
Mtoto wa Mseven akishateka Wanaharakati na watu wanamkosoa Baba ake anawalazimishwa kuvaa fulana zenye picha au nembo ya Museveni kisha anawambia wamsifie Mseven kisha vikosi vyake vinaanza kuwapa mateso ya kila aina mbele ya Camera, Luten anasema wengine walikuwa wanapoteza maisha kwasababu ya mateso so walikuwa wanachukua miili Yao na kwenda kuizika porini.😭
Baada ya kuona video za Uganda nimepata matumaini kwamba kuna siku mtu mmoja ndani ya Jeshi la Polisi atakuja kufanya kama Luten Matanda lakin naamin huenda hata ndugu zetu akina Soka, Mdude, Kipanya, Aman Manengelo, Chaula na Humphrey Polepole huenda wapo hai.
Kama baada ya serikali haram kuwekeza mabilioni ya fedha na kushirikiana na ma influencer wa instagram wameshindwa kukusanya hata Watanzania elfu 5 siku ya leo basi naomba niseme hivi,
HONGERENI WATANZANIA, LEO MMETUTIA MOYO…..
Naongezea Mchungaji Martin Luther King alimkosoa Rais Nixon na baadaye Rais Kennedy kabla ys kuuwawa
Ila alichopigania yaani USAWA na HAKI imenufaisha watu watu weusi Marekani na leo birthday yake ni sikukuu - heshima ambayo haya marais hawana Marekani!
Atulie huyo Bashite kama maji kwenye mtungi!
#SamiaMustGo
Nilipowaambia lilikuwa ni TUKIO LA MASHOGA mkaniona nimedata.
Wewe ukiona jamba linapewa chapuo na BASHITE jua kuna ushoga humo. Wewe jitu lina mahips vile unategemea nini?
@GahayaGiseny Na kama Samia asipoacha kusimamia mauwaji kama Mkapa ataamsha wazee wenye akili kuwafundisha vijana wajibu wa kujitetea.
Ni wazee wapumbavu ndio watakaoendelea kushuhudia watoto na wajukuu zao wakiuwawa wakakaa kimya kutetea pension na posho.
Mimi na Chadema sio miongoni mwao.
huyo ni mtu wa sita kuuwawa na HASSAN anaedai ameaga kwao ZNZ na hawezi kufanywa chochote. Nini kitafanyika?
Je! Huu sasa ndio mtindo na mahusiano kati ya polisi na raia? Umefika wakati wa kujitetea vinginevyo tutaangamia kwa kukosa maarifa.
Hali ni tete eneo la MWIKA UUWO. Gari la polisi limemgonga kijana aliyekuwa akitoka shamba kwa kumsukuma kwa gari lao.
Askari anaeitwa HASSAN ndie mtuhumiwa na inasemekana ameshafanya hivyo mara sita.
Raia wamefunga barabara ya Rombo-Moshi wanamtaka huyo askari.
Kama ilivyo kawaida yao ya kutumia mabavu. Wananchi walipigwa mabomu ya machozi ya kutosha.
Kitendawili kimebaki kijana aliyekuwa amebeba miche ya nyanya akipeleka kuotesha ktk bustani yake; Polisi HASSAN amemuuwa kwa kumgonga kwa makusudi akidhani alibeba mirungi. Raia wanasema
Makamu Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 John Heche @HecheJohn amedai kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya @ccm_tanzania (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Laban Kihongosi ametumwa kuongea juu ya taarifa za madai ya mipango ya vurugu zinazopangwa na CHADEMA lengo likiwa chama hicho kifungiwe.
Heche amesema hayo leo Juni 13, 2026 akiwa mkoani Iringa kwenye mkutano wa hadhara akeieleza kuwa CCM imeshindwa kushindana na CHADEMA na hawawezi huku akieleza kuwa jaribio lolote la kuifuta CHADEMA litasababisha vurugu.