Equality, justice, freedom are the foundations of Peace and love. Man has the right to live and seek God. I believe that justice is the basis of human life.

@JamiiForums Kwenye ibada bila Padre ndo haya mambo utayakuta mengi mnoo, yaan mtangazaji (katibu) akishamaliza ndo msululu wa watangazaji wengine bandia huibuka mradi tu kila mtu aonekana kaongea kanisani, daah!
Inachosha kwakweli!!
@SuluhuSamia Mungu akuzidishie wingi wa siku raisi wetu, akulinde na kila lililo baya na akuweke salama katika mambo yote.
Lkn
Mama sasa mbona wamekuweka siti ya mbele? Huko nadhani sio salama sana.