@PolycarpMDM@comanchechiefIV Waambie mzee wanafikiri china ni kama kwenda kyela.
China unaweza ukafika wakakosekana wenyeji wako tu na ukiwa hujui hata pa-kuanzia ukikaa masaa mengi pale immigration wanakurudisha bongo wallah
@kasesco_tz Wanaobisha ni washamba ambao hawajawahi kumiliki ving'amuzi vizuri.
Dish kwa dish vinaingiliana na pia antena ya startimes ukichomeka waya kutoka king'amuzi cha azam tv cha antena kinasoma kama kawaida.. Washamba nyie
@francisfizzo@Tweener003 Hiyo cha mtoto kaka Darby ya Boca junior na River plate huwa inaenda kupigwa mpka Hispania yaan huwa inahamishwa nchi kwa sababu huwa wanaanza vurugu hata kabla ya mechi kuanza
@NjiwaFLow@mTusiOriginal Matako yako ni mdogo wake wa damu kabisa
Mm stan jirani nawafahamu vizuri tangu 2016 anakuja na Kitale na noah nyeusi kununua kiwanja .
Mara kibao tu anakuja ney kwa stan tunapiga nao story alafu matako yako unabisha.
@IMzinga7077@mTusiOriginal Ni mdogo wake wa damu kabisa mtu anabisha na wakati stan tunakaa nae kibada huku nawafahamu tangu 2016 wanakuja kununua kiwanja cha stani alikuja na Kitale kwenye noah nyeusi .
Na mara kibao tu Ney huwa anakuja kwa stan sema hawapendi sifa mitandaoni
@JOH_MCI Hujui mpira kausha Kanye ulale
Ungekuwa unamsikilizaga Peter Drury usingekuwa unashangaa mzinga kuwa anatoa details za mchezaji mmoja mmoja
Mshamba wa kideo ☹️