Kuchelewa kwa baadhi ya mafanikio yako ni nusuru ya mwenyezi Mungu. Yapo mafanikio ukifikia unapaswa kurudi kwa Mungu, hivyo anakuacha hai uendelee kuiona pumzi na uzuri wa Dunia kwanza ndiyo aruhusu ufanikiwe kwa kiwango ulichopangiwa😶
#Mfuasi
@kigogo2014 https://t.co/s4X7Zm53ou
WIMBO HUU USINDIKIZE NIA YAKO DHABITI KATIKA TOBA NA KUMRUDIA MUNGU
PLEASE
Subscribe and Share
Na huu Shemasi tuinuane injili itembee
viwawa_kibangu
🙏🏽
@kigogo2014 https://t.co/BHl4Fm9Oog
WIMBO HUU UTUTAFAKARISHE KUELEKEA KIPINDI CHA MATESO YA BWANA WETU YESU KRISTU
Subscribe and Share
viwawa_kibangu
Shemasi tuinue wanakwaya wa VIWAWA Ubungo, Kibangu injili itembee
🙏🏼🙏🏼😅