High School watu wanaokaa mbele wanabishana correct answer!
Wale wa katikati wanabishana kama washafundishwa hiyo topic!
Halafu kuna malegend huku nyuma tunashangaa hilo ni somo gani...!! 😂😂😂
Mwenyekiti wa @ACTwazalendo, @SeifSharifHamad amekabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa #Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. Hii itakuwa mara yake ya sita kugombea nafasi hiyo ambapo alianza kugombea katika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini, mwaka 1995.
Aisee alishusika na deal la huyu jamaa atafutwe kwakweli wale sporting lisbon tumewafilii(in arachuga tone)😂 so kwa freekick ile kama una kisukari unaweza kufa kwa utamu!!
Mkutano mkuu wa kwanza wa TANU mwaka 1955!
Leo hata media coverage ya mikutano ya vyama vya upinzani ni kosa!
Je tumepata uhuru wa kweli wakati haki ya msingi wa kujumuika, haki ya kuchagua na kuchaguliwa na haki ya kujieleza umeminywa na Dola?
#77Nyeupe
“Waafrika wanachukia kubezwa. Kumpa mtu chakula ukamsema hadharani anachukia sana. Maendeleo yanapendeza yakijitangaza kuliko kuyatangaza. Watendewa wana macho na midomo.”-- Askofu Bagonza #HekimaZaBagonza#ChaguziHuru#77Nyeupe
Tunajivunia sana kufunguliwa kwa akaunti hii ya lugha ya Kiswahili ili kuwafikia mashabiki wetu wa bara Afrika na ulimwenguni kote. Kuzinduliwa rasmi kutafanyika Jumapili 20 Oktoba wakati wa mchuano wetu na Liverpool uwanjani Old Trafford.