@TayanahTibs Tupo wengi sana tusiojua Katiba inasemaje.Kila Raia mwenye akili Timamu ana haki yakujiunga na chama chochote cha siasa.Ishu siyo kupokelewa,wapokelewe kama wanachama wa kawaida ila wasipewe nafasi za uongozi.Wawe wanachama wa Kawaida tu
@Franklynboman@samz__23 Hawa jamaa nawashangaa sana Kaka...Flow ai na Veo3 na nyinginezo nyingi zinatoa sekunde 8,na ukitaka video ndefu ni lazima ugenerate nyingi kwa hizo sekunde nane na uziunge.Jamaa ana saa moja na ushee
@WKazinja84310@ezra_mollel@MariaSTsehai Sasa huwa najiuliza,huyo anayeshauriwa hapimi? Na ninakubaliana na sentensi yak kwasababu niliwahi kumsikia akisema wakati anaandaa 4r alipata upinzani kutoka kwa watu wake wakaribu.Lakini kama mtu mzima unapima tu.Wote tutakufa
@gobore2018@Jambotv_ Wameandika vizuri,wamebalance story...Ila ukisoma vizuri,kuna muhusika mkuu ambaye anasemekana ndy muandishi wa hiyo barua,alipoulizwa hajakataa wala hajakubali kama kaandika yeye,zaidi yakusema anaratiba nyingine.Think twice
@jacobolaizer@IAMartin_ Ndugu kamsikilize Gwajima mwanzo Mwisho,tena usiwe unafanya jambo lingine.Akili yako iweke kwenye kusikiliza.Jamaa ameweka kila kitu uchi,hivyo vyombo vya usalaama vyote kavitandika.Ndy maaana kasema,hivyo vyombo vinapofuatilia wanakuta kuna mtu mkubwa yupo.Wanafyata.
@ManenoIzaak Nitajie hayo yote uyasemayo Kaka.Ukiwasikiliza vizuri hawa wote,mara tu uchaguzi ulivyoisha tu,dalili zilianza kujionesha wazi.Hawa si ndio waliokua wanasema HAKUNA KUHAMA CHAMA