On Air Personality at PambazukoFm Ifakara |Moro-Tanzania/
Host SayariBit_weekdays 9Am, & Current Affairs Pundity
contact:+255684622798/
Blog Designer 🙏
Hukumu ya kesi ya muaji iliyokuwa ikimkabili mke wa bilionea Msuya imetolewa leo.
Kama nilivyotabiri, mshtakiwa ameachiliwa huru baada ya upande wa mashtaka kushidwa kuthibitisha mashtaka hayo bila kuacha mashaka.
Wekeni notification on...
Serikali imetangaza kuyaunganisha Mashirika 16 ya Umma ikiwemo Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ambayo imeunganishwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) na kuunda Taasisi moja inatayohusika na utambuzi wa matukio muhimu maishani, lengo likiwa ni kutekeleza maelekezo ya Rais Samia ya kuwa na namba moja ya utambulisho.
Uamuzi huo umetangazwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo ( @kitilam ) leo December 15,2023 Dar es salam ambapo Benki ya Kilimo Tanzania (TADB) nayo imeunganishwa na Mfuko wa Pembejeo za Kilimo (AGITF) ili kuwa na Taasisi moja itakayohusika na mikopo na ugharamiaji wa maendeleo ya kilimo nchini.
Bodi ya Chai inaunganishwa na Wakala wa Maendeleo ya Wakulima Wadogo wa Chai Tanzania zinaunganishwa ili kuwa na bodi moja (Bodi ya Chai), Bodi ya Nyama inaunganishwa na Bodi ya Maziwa zinaunganishwa ili kunda Taasisi moja ya kuendeleza na kusimamia mazao ya mifugo yakiwemo ya nyama na maziwa.
Kituo cha Zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini , Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) na Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo (SIDO) zinaunganishwa ili kunda Taasisi moja.
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinaunganishwa na Mamlaka ya Uzalishaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) ili kuunda Taasisi moja itakayoratibu uwekezaji wa sekta binafsi wa ndani na kutoka nje ya nchi.
Taasisi ya Utafiti wa Chai Tanzania (TRIT), Taasisi ya Utafiti wa Tumbaku Tanzania (TORITA) na Taasisi ya Utafiti wa Kahawa (TACRI) zinaunganishwa na kuwa sehemu ya muundo wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). #MillardAyoUPDATES
CONFIRMED: CHONGOLO OUT
Katibu Mkuu wa CCM bwana Chongolo imeshakuwa confirmed ameondolewa inasubiriwa kutangazwa tu!
👉🏾vikao vya kumuondoa tokea week Jana vimefanyikia
TSN (TANZANIA SISI NYUMBANI) ambaye mkurugenzi wake ni Faroukh
👉🏾Mkubwa jiandae kabisa kukabidhi office
Los Blancos walitangaza mwaka 2017 kwamba walikuwa wamefikia makubaliano ya kumsajili Vinicius kutoka klabu ya utotoni ya Flamengo, na mkataba huo ukakamilika mwaka mmoja baadaye alipofikisha umri wa miaka 18.
Katika miaka yake mwanzo klabuni,Vinicius alitatizika kwa kutofanya..
Mtu mwenye figo nzima ; figo hufanya kazi ya uratibu Kiwango cha maji mwili.
Lakin figo inaposhindwa kufanya kazi inayojulikana pia kama ugonjwa wa figo hatua ya mwisho (ESRD), udhibiti wa maji hushindikana kutokana na kazi ya figo kutofanyika. Mwili Hujaa Maji na kuvimba huweza fika kwenye mapafu.
Mara nyingi wagonjwa hupitia dialisisi au upandikizaji wa figo kwa matibabu. Dialisisi husaidia kuondoa maji ziada na taka mwilini. Huwa tunawaelimisha wagonjwa Hawa kuhusu unywaji wa maji na ufuatiliaji wa uwiano wa maji pia ni muhimu.
Ni muhimu kuwasiliana na daktari wa figo au mtoa huduma ya afya kwa ushauri na matibabu binafsi.
SHERIA YA KAZI: MSABATO KUTOFANYA KAZI JUMAMOSI NI HAKI YAKE YA KIKATIBA -
Dada ELIZA - MSABATO alisaini Mkataba wa Ajira na Benki (NMB), Mkataba ulionesha kuwa hata JUMAMOSI ni siku ya kazi. Lakini Eliza akawa haendi kazini siku za JUMAMOSI bali alienda kusali
Leo Kibegi kinalala Kibo huts , washabaki wa @SimbaSCTanzania wako vizuri kuhakikisha wanafikisha kibegi katika kilele kirefu zaidi barani Afrika,Uhuru Peak .Vibanda vya Kibo hutumiwa zaidi na wanaotumia Njia ya Rongai na Njia ya Marangu kabla ya siku ya mwisho ya ku-Summit.
Kama wewe ni miongoni mwa watu wanatafuta kazi za kufanya remotely yatakayokusaidia kupata mpaka $500+kulingana na juhud
Nitakuonesha machimbo 10 yanayotoa kazi za remotely,kumbuka jisajiri kama mtu wa USA,CA au UK ili upate hayo machimbo, njia za kujisajiri nimeshawapa
Thread👇
Perfume 10 zinazopendwa zaidi kwasasa.
10. Hayaati.
watu wanaopenda kunukia wakiijua hii nimekwisha. Iko poa sana kama hujawahi kuitumia ijaribu utanishukuru badae.
Hii bei yake ni 30k tu.🔥
☎️ 0678213259
WhatsApp https://t.co/wFODXcZmyH
Unataka kuanzisha NGO na unataka kupata kila taarifa sahihi, wapi pa kuanzia, aina za malipo na na namna utatimizi “Statutory requirements” and compliances?
Basi jawabu hili hapa, a very simple Information Stop centre inaitwa @ComplianceTz
Jisajili
https://t.co/74wofP6age
INTRODUCING A ONE-STOP CENTER
📌 CSA (https://t.co/202OM4R4j7) provides you with the following Digital Services
1️⃣ Essential Information of Starting any Entity
2️⃣ Monthly Compliance Reminders of any Entity
3️⃣ Experts Connect
4️⃣ Technology Health Index (THI)
#ComplianceTZ
Sasa mambo yasiwe mengi ndani ya dakika 1 ijayo utakua umeshajua maana na tofauti zake ni ipi ni nzuri zaidi kwa matumizi..
.
AWD ni short term ya All wheel drive yani ni system ambayo tyre zote nne zinapata mwendo/zinavuta kwa kujitegemea [zina gain traction independently]..