@godbless_lema Umri unavyozidi kwenda utengeneza mzani ambao ubeba mambo mawili hekima na ufarao.Ndio maana umri ukizidi utakiwi kuwa na walio chini ya umri wako mwisho wa siku utaitwa we mzee nuski
@JrMalcolm88 Utawala wa miaka 60 ya uhuru hata kuwaza mapinduzi ya kilimo hakuna.Ukisafiri nchi za nje ukajifunza kitu sikupeleki mbali au sijui ni akili za waafrika hata teknolojia zimetushinda.Nenda singapole sijui hata kama na kitabu unajua jina lake na tulikuwa tumewazidi kila kitu na leo
@JbHasheem@MarekaMalili Hivi ccm inakupotosha sana.Ulishasafiri hata nchi za wenzako wanategemea mchikikichi nchi nzima na serikali yao ikawaboreshea maiaha.Unataja milioni 500 utazani mama yako ni samia
@Sirjeff_D Nilishasema kama โteknolojia zingekuwa zinatokea afrika nahisi hata kusingekuwa na chochote zaidi ya kutokubali kukosoa au kukosolewaโ.Ndio hawa serikali ya CCm wanajiita wapenda amani na kukuza uchumi tokea kupata uhuru
@Gery_Gerrald Jifunze historia za matajiri na nchi sio mpaka histotria kwa maskini kwenda maskini.Nchi zilizokuwa na utajiri mpaka kuelekea kuwa maskini au machafuko mfano libya,sudani,congo,italy,na yule mama anayefanana na samia