I will never forget my ex told me, after I shared the news of getting a new job after being laid off, โI was going to leave you in January if you didnโt get a new jobโฆโ
It was October 25th.
@Tanganyikan Wako aggressive kwenye marketing. Karibu events nyingi zenye watu wengi utakuwa timu yao wanakufuata man to man. I think hata wazo la kuwa na standard fee kwa miamala imesaidia sana.
Siku tutakayokufa, hatutaitwa tena kwa majina yetu. Watasema, โLeteni mwiliโ au โShusheni mwili kaburini.โ Jina hubaki nyuma. Hivyo, tuishi kutafuta ridhaa ya Muumba, si sifa na makofi ya viumbe.
Madem hamjuangi ball.such men usiwai let the chance slide most probably wanakuanga wale wako established na wameonyeshwa vumbi na wife searching and have no games remaining in them.Utaenjoy life.
A stronger Tanzania starts with stronger connections.
Our Ubuntu Dialogue brought together 30+ youth leaders, academics, and legal professionals to discuss unity, social cohesion, and collective responsibility. The work continues.
See you in the next dialogue
#UbuntuDialogue
2027 imebaki miezi 6 tu.
2016 ilikuwa miaka 10 iliyopita.
COVID ilianza zaidi ya miaka 6 iliyopita.
Waliozaliwa 1990 wamebakiza miaka 14 tu kutimiza miaka 50.
Na leo, 2007 iko mbali zaidi kuliko 2040.
Muda unakimbia.
Acha kusubiri. Anza sasa.