@rollymsouth Waswahili wanansema Siku ya kufa nyani miti yote huteleza, maana yake Siku ya kufa ikifika huwa hakuna ujanja wala ujuaji wala umwamba, utaondoka tu, acheni MUNGU aitwe MUNGUπ€
@fatma_karume Eti ansema seeikali iliyochaguliwa kihalali, hawa watu wakoje, Mimi mwenyewe nilimsikia wakla mmoja was uchaguzi akisema wanakwwnda kuchukua kura nyingine zilizopigwa automatically za CCM kuja kuzichanganya na hizi kura zetu tulizo piga ki halali, halfu eti serkali ya halali !?