@IAMartin_@freemanmbowetz Sasa hicho chadema ni "chama cha demokrasia na maendeleo" au "chama cha madaraka na maendeleo"??
Halafu pesa zetu za join the chain matumizi yake vipi naona kimya mpaka leo au mshajenga hotel nyengine dubai @IAMartin_ ??
@EduTalkTz@KahumuzaWilfred Kwanini wewe mwanamme na sio mwanamke??
Kwani wewe ulijichagulia kuwa mwanamme au ni ujanja wako ulitumika mpaka wewe ukawa mwanamme??
@EduTalkTz uliwahi kujiuliza hili swali??
@HecheJohn Kaka @HecheJohn kama kifungu kwenye katiba kipo sasa umashindwa vipi kuisimamia katiba??
Wewe kaandamane kwani kuna kosa gani kaka??
Usijitengenezee umuhimu kwa kupost maneno mengi kwenye kurafasa za twitter
@Deodravis@godbless_lema Ni kweli kaka tatizo la wanasiasa wanataka watu wote wafuate misimamo yao, jambo ambalo kimsingi sio kweli.
Sasa kama umefukuzwa bungeni inahusu nini na msimamo wa Prof Assad??
@HecheJohn@HecheJohn vipi kuhusu matumizi ya join thr chain??
Kweli mkipewa nchi mtatekeleza ahadi ikiwa pesa za wanyonge mligawana na kujenga mahoteli??
Hii nchi haina mpinzani zaidi ya wachumia tumbo tuu
@freemanmbowetz@freemanmbowetz vipi kuhusu join the chain
Naomba utupe hesabu kamili juu ya makusanyo na matumizi ya fedha zetu.
Tafadhali miheshimiwa mbowe tunasubiri hapa.