@TitoMagoti Kila nikijaribu kuitetea nchi yangu nashindwa yani, ni nini kilichopo nyuma ya huu utekaji? Ni shetwain . Roho mbaya? Au system imeingiliwa ili kuharibu taswira ya nchi? Kama kuna karata zinachezwa basi mchezaji yupo smart sana
@HildaNewton21 Harau anasema hata yeye kaumia sana , kila mtu kaumia as if zile risasi zilishushwa na mvua wakati watendaji wapo hawaguswi na mtoa amri yupo anajichunguza
Upumbavu wa hari ya juu kwa viongozi mgazi za juu vile kuwa na akili za namna hii