@HildaNewton21 TATIZO LIPO WAPI HAPO?? Kuna wakati ooeration ilifanyika Dsm maeneo ya Mwananyamala, Temeke na Msasani na ilibainika kabila fulani ndio wapo wengi na wanajiuza. MLITAKA WASISEME?? Kuna uhusiano gani hapo kisiasa au kimuungano?? Kila kitu kweny siasa na upotoshaji. STUPID!
@iamFallacy Kusifiana sifiana kijinga ndo tunaweza ila kuwajibika kujifua na kujiamini hatutaki.
Wenzetu wanaji dedicate fully na wanafanya kama maisha yao ila sisi mizaha mingi sifa za kijinga nyingi kuanzia kwenye bongo flavor, siasa, football.
Mnaenda kupigiaha nyimbo za Taifa bure tu
@mananajr_ Ipo hivi:-
1. Mkoa una wilaya
2. Wilaya zina Halmashauri
3. Halmashauri zina Kata
4. Tarafa ni muunganiko wa kata kadhaa
5. Kata zina vijiji au Mitaa
6. Vijiji vina Vitongoji (kwa vijijini). Mitaa haina vitongoji
@jnanauka Kwanza kabisa najua unq ujuzi wa mambo mengi sana.
Naomba nisaidie, in life popote pale uwe mwanafunzi au mfanyabiashara au mfanyakazi kitu gani ni muhimu sana kuwa nacho:-
1. Je ni power of imagination?; au
2. Kuwa na laser focused mind?
πππ
@kikomasta Mlianza na jamaa wa Chechinya wale mkawasifiaaaa kweli kuwa ni wataalam wa kuua lakini nao wakapotea. Na hawa watapotea kama hao walivyopotea.
@AdellaTillya Ila wa Tz bana! Hata ku analyze kidogo tu iwapo ni kweli issue ya mke wa mtu au la aaaaah moja kwa moja wameanza kuhukumu π€£π€£π€£! Nani anaweza thibitisha hapo ni issue ya mke wa mtu au ni vurugu tu za mtaani kutunishiana misuli jamaa ka mind kaamua kumfanyia fujo