@wizara_elimuTz Hv kweli mmetafakari kwa usahihi?? Je El Nino Ikiendelea mpaka mvua zinapokoma June itakuwaje kwa elimu ya watoto wetu??? VP kuhusu syllabus
@Mwitah_tz Anatafuta sifa huko duniani halafu Muhimbili/Mloganzila Hospital ndio pekee zinapewa kipaumbele cha fedha,je unataka watanzania wote watoke umbali mrefu kufuata huduma Dar?? Aanze na Hospital za kibingwa kwa kanda za MWANZA,Dodoma,Mtwara
@MbarawaM Mradi wa reli ya SGR MWANZA kwenda Isaka umekwama maana hakuna kazi yoyote tunayoiona ikiendelea sasa hatuelewi ni chuki juu ya watu wa huku au ni kuupuuza @SuluhuSamia
@ikulumawasliano Ujenzi wa mradi wa SGR kipande cha MWANZA To Isaka zinasuasua,kasi ya Ujenzi ni ndogo sana.Pili,Mwanza ina barabara mbovu sana inahitaji ujenzi mpya kuboresha Jiji na mwisho, MWANZA ina mpango mji wa hivyo haufanani na hadhi ya Majiji @SuluhuSamia @ortamisemitz @wizara_ya_ardhi
@ppp_centre_Tz PPP sio ndio Ustahimilivu wa deni la Taifa,bali kupunguza matumizi yasiyo na tiba kwa Nchi na fedha hiyo kuelekezwa katika miradi ya maendeleo ndio msingi wake
@AbroadTanzania Tatizo letu lilianzia tangu tuungane na ASP,kwani TANU (Haki kumwaga damu) kulingana na ASP(iliyomwaga damu) matokeo yake tumeambukizwa dhambi hiyo
@Royaltv_plus Hawa watu wametuona sisi ni shamba la bibi maana sisi ndio kama tunawang'ang'ania matokeo yake Wazanzibari ndio wamejaa serikali,wachimbaji wadogo,biashara na kila unono wa bara halafu Watanganyika wanabaguliwa Zanzibar tunacheka tu @vpo_tanzania
@millardayo Kama unamfuta kazi meneja Ramadhan Mramba halafu bosi wake mkurugenzi Nelly Msuya unamwacha haya ni mazingaombwe kwa sababu kama meneja kafeli maanake kuna shida ya Uongozi hivyo Mkurugenzi na Bodi Ya MWAUWASA wote watolewe wamefeli @maji_mowi@mwauwasatz@mwigulunchemba1
@ccm_tanzania Watanzania wanataka kiongozi ambaye anakubalika kwao,uwezo wa kuongoza na sio kuwaona Watanzania ni maadui,mwenye upendo na uzalendo wa dhati wa Nchi,anawasikiliza na kuwajali
@ccm_tanzania CCM imebaki kuwa kikundi cha wahuni wachache wanao tweza utu wa Mtanzania,genge la mafisadi wanaofaidi Nchi hii,sio chama kile kilichoasisiwa na Mwl JK Nyerere,wekeni mzani sawa wa uchaguzi muone kama hata saa 1 itapita mtakuwa mmegalagazwa mapema sana
BAJETI 2026/2027. Hapa jambo kubwa ni je mikopo yetu ni HIMILIVU? Hapana imezidi. Kwani kwa takwimu hizi
Mapato ya serikali ni Shs T36.99 kodi+T9.24 mengineyo =T36.23.
Madeni ni T7.84 yaliyoiva+T6.86 riba=T14.70.
Madeni kama asilimia ya mapato halisi ya serikali : T14.70/T36.23 = 40.57%.
Deni himilivu halitakiwi kuwa zaidi ya asilimia 18% ya mapato ya serikali. Kwa hiyo tumevuka mpaka (kima cha juu) hata kama WAKOPESHAJI watatwambia vinginevyo. Bila misaada zaidi TWAFA๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธ๐๐ปโโ๏ธKodi zikizidi uwezo wa wananchi kulipa zinakwepwa au kufirisi walipaji. Inakuwa vicious circle.
@ikulumawasliano Ni kipindi kigumu sana hasa kwa sisi Wabara maana miradi ya barabara katika mikoa yetu mfano Mwanza,Simiyu(Meatu),Mara,Shinyanga na Geita ni maumivu tu,hatutegemei lolote @OR_MU1
@HildaNewton21 Pale Mwanza wanahitaji barabara za lami,na maji lakini ajabu pesa hakuna kumbe kuna hela ya kuchezea,Watanzania tuzinduke haya mpaka lini ??? @ikulumawasliano@SuluhuSamia