@ummymwalimu Hizo ni huduma watoazo wanafunzi lakini waajiliwa wenyewe hawako hivyo fuatilieni kwa karibu halafu inategemeana na in charge on call sema su!
@ummymwalimu Hao vijana asilimia 80 ni interns, so subiri mwezi wa Kumi na mbili watakapofanyishwa mtihani Haram wa post intern na kufelishwa then someone ataenda kwenye media na kusema wamefeli kwa sababu Wana uwezo mdogo! MCT wajitafakari sana.
@ummymwalimu Vijana wetu wananyimwa lesen kwa kisingizio za ya Mamtiani, hivi hawa vijana ndani ya miaka mitano wamefanya mitiani mingapi mpaka ma mitiani mangapi mpaka mitiani ya MCT ndo ionekane mnyima leseni, taifa na walipakodi wamekeza sana kwa vijana hawa, tuache uhuni kwa maisha ya wat
Umoja wa Madaktari Wahitimu Watarajali umeandika barua kwenda kwa Rais #SamiaSuluhu wakilaumu Utaratibu wa Mitihani inayofanyika baada ya kukamilika kwa mafunzo ya vitendo katika Vituo vya Afya (Post internship) inayosimamiwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (#MCT)
Dkt. Warsha Wilson amedai Mitihani wanayofanya imejaa nadharia, hivyo kupishana na uhalisia na hakuna uwazi
Ameongeza “Pia kauli ya Msajili wa Madaktari kuwa ‘Madaktari Tarajali wanafeli kwa kuwa wana uwezo mdogo Darasani’ hatukufurahishwa nayo kwani kwa muundo wa utaratibu ni sawa ametudharau sisi Madaktari wenzake, Wakufunzi na TCU.”
Soma https://t.co/MqzwfpUluK
#JFHuduma #Governance #JamiiForums
@Hurumawela @ummymwalimu@drmlalukoMD Kama watarajal weng wamefel bas nao wamefel. Muhimu nikutatua wap wamefel. kama kit kibovu kitazuiwa kisiuzwe ujue hujatatua maana inatakiwa uanzie kiwandani, na ndio maana nashauri mitihan hii ifanyikie vyuoni apo mwanafunz anaweza soma kwa ajili yamtihan
@sci7philo@drmlalukoMD@ummymwalimu@tamsatanzania Ni ukwel usio pingika kwamba wapo wasiopenda competition kwenye hii kada.. hivi nivikwazo tu kupunguza watu, sio kwel kwa mtihani wamasaa machache unaweza kujua uwezo wa mtu wa miaka 6.. uwezo hupimwa kazini... utarajali ndio sehem daktari anajulikana uwezo.
@sci7philo@drmlalukoMD@ummymwalimu@tamsatanzania Je nikwell uwezo wa mtu unaweza pima kwa mtihan pekee na je walio faulu ndio wenye uwezo? Sio kweli nchi inapoteza wasomi na kupata hasara bila kujua kwavile ni madhara ya baadae leo hayaonekan
@PhilipLubinza@ummymwalimu@drmlalukoMD Hii kweli ni tafsiri ya ubinafsi... alafu najua ww hujaumizwa na wenzio Ungejua hawa wahanga wapo ambao wanauwezo kukutibu ww au ndugu zako basi ungeelewa kipimo sio mtihani kipimo ni utendaji kaz. Utarajal ndio kipimo pekee na wenye uwezo wakujua unaweza au huwez ni pale