Fan-Post! 📬 Seit seinem Auslandsjahr in Tansania hat es mit dem Young Africans SC ein zweiter Verein ins Herz von #FCA-Mitglied Manu geschafft! ⚽️ Das heutige Testspiel im FCA TV-Livestream ist ein Pflichttermin für ihn! 📺
🔴 https://t.co/Bol7Q0nLc8 #YSCFCA
4 odds today on Stake.
Load game here: https://t.co/UOvVfsn4UH
Register here: https://t.co/tAgAMRGOvh
Contact https://t.co/EN3JotGNKl or https://t.co/Ig2IHFHHD8 to fund account.
Jinsi ya kununua tiketi ya mchezo wetu wa Kimataifa dhidi ya CR Belouizdad kwa kupitia mitandao ya simu ukiwa na kadi ya N-Card.
#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mwacheni mama na saa yake,mimi nimeipenda,siku moja nitamnunulia Neema wangu.Hakuna tofauti na kijana kununua Iphone ya Milioni tano wkt hana akiba benki hata ya laki moja.Expensive is relative.
AFYA: Wataalamu wa Afya wamebainisha kuwa inachukua kati ya saa 12 hadi siku 5 kwa mtu kuonesha dalili za #Kipindupindu baada ya kula chakula au kunywa maji yenye vimelea vya Ugonjwa huo
Vimelea vinavyosababisha Kipindupindu vinaweza kukaa mwilini kwa siku kadhaa baada ya mtu kuambukizwa na hata visionesha dalili na unaweza kuambukiza wengine kama hawatachukua hatua za kujilinda
Inakadiriwa kuwa 10% ya Wagonjwa wa Kipindupindu ndio huonesha Dalili za Ugonjwa, hivyo ni muhimu kuchukua tahadhari wakati wote kwasababu Watu wote wanaweza kuambukizwa Kipindupindu
Soma https://t.co/MpGSA5Uoem
#JamiiForums #CholeraOutBreak #CholeraAwareness #PublicHealth
@adamlutta ni sahihi kabisa, Mkuu wa mkoa anaweza kutoa amri kwa vyombo vya ulinzi na usalama katika mkoa wake kwa sababu zifuatazo
1. ni muwakilishi wa Rais(amiri jeshi)
2. Mkuu wa Mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama katika mkoa wake hivyo yupo in charge for any security ishu